Jobs · Accounting · Massachusetts

Cashbook Accountant

ChuoSmart · Worcester, MA · 3 days ago
On-siteAccountingFull-time
Dar es salaam, Tanzania • Full TimeJob OverviewLocation: Dar es salaam, TanzaniaJob Type: Full TimePosted: August 24, 2026Application Deadline: Not specifiedSource: Chuo MarketRequired SkillsNo specific skills listedExperience LevelSenior LevelJob DescriptionCashbook Accountant atahusika kusimamia shughuli za fedha taslimu na miamala ya benki katika hoteli za Serena, kuhakikisha cashbook na ledger zinaandaliwa kwa usahihi, kufanya bank reconciliation, kusimamia petty cash, kuhakiki malipo na invoices, pamoja na kuandaa taarifa za cash flow na miamala kwa ajili ya Finance Manager na uongozi.ResponsibilitiesKurekodi miamala yote ya cash, cheque na benki kwenye ledger. Kufanya daily na monthly bank reconciliation na kutatua tofauti za kifedha. Kusimamia cash flow na petty cash. Kufanya ukaguzi wa fedha taslimu mara kwa mara. Kuhakiki payment vouchers, invoices na nyaraka za malipo. Kuandaa cash flow schedules na banking reports. Kuhakikisha usahihi wa taarifa za kifedha na kuzingatia internal controls.BenefitsMshahara kulingana na sera ya kampuni na uzoefu. Medical/health insurance kulingana na sera ya mwajiri. Likizo ya mwaka yenye malipo. Maternity/Paternity leave kwa mujibu wa sheria. Mafunzo na maendeleo ya kitaaluma. Fursa za promotion na career growth ndani ya Serena Hotels. Employee benefits/allowances nyingine kulingana na sera ya kampuni.

Similar jobs

Quickbooks Accountant

Ted Moore Auto GroupOklahoma City, OK· 2 days ago
Accounting$70k–$85k/yrapply on careers.hireology.com

Cash Accounting

Eliassen GroupLone Tree, CO· 2 wk ago
Accounting$35/hrapply on eliassen.com

Cash Receipts Accountant

Jewish Family and Children's Services of San Francisco, the Peninsula, Marin and Sonoma CountiesSan Francisco, CA· 1 mo ago
Accounting$33.33–$36.92/hrapply on recruiting.paylocity.com

Accountant / Bookkepper

Floor Interior Services CorpTampa, FL· 1 mo ago
Accountingapply on floor-interior-services-corp.careerplug.com

Accountant Bookkeeper

Lutheran Social Services of IllinoisDes Plaines, IL· 2 wk ago
Accounting$23–$25/hrapply on jobs.dayforcehcm.com